Monday, February 3, 2014

BABU (MZEE MATANDIKO)
AMTEMBELEA
 MJUKUU (SOPHIE MZIUNGU)

 BABU AKIWA AMETUA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWL. J.K. NYERERE

 BABU BAADA YA KUWASILI UWANJA WA NDEGE ALIPOKELEWA NA MJUKUU AKISINDIKIZWA NA BABA NA MAMA SOPHIE

 WALIPOFIKA NYUMBANI HAYO NDIO YALIJIRI




BABU NA MJUKUU WAKIWA OUTDOOR WAKIPUNGA UPEPO
 BAADA YA KUKIMBIA JOTO LA DAR ES SALAAM








BABU SOPHIE ALIAMUA KUITOA FAMILIA YOTE OUT
 NA KUIPELEKA BEACH HUKO KIGAMBONI




MJUKUU WA MZEE MATANDIKO AKIFURAHIA UPEPO MWANANA WA BEACH...


BABU SOPHIE (MZEE MATANDIKO HAKUISHIA HAPO BALI ALIFIKA KWENYE SHOPPING MALL KWA AJILI YA KUANGALIA CHOCHOTE KIZURI KIMFAACHO MJUKUU WAKE.

HUO NI MOJA KATI YA USAFIRI ULIMUWEZESHA BABU SOPHIE KULIZUNGUKA JIJI LA DSM KATIKA HARAKATI ZA KUKWEPA FOLENI NA HALI YA HEWA YA JOTO KALI, KIUKWELI ALIUPENDA HUO USAFIRI KUPITA GARI ALIYOKUWA AKITUPIA.

Sunday, October 20, 2013


SOPHIE BAPTISM


 May God richly bless you
As you take this step of faith,
Being baptized in His name
And to walk within His grace
So you may always carry
The light of Jesus love
To those who may not have
Faith in God above.


May God shower His blessings
Upon your life today
As in His word you've trusted,
Applied and obeyed
And have come to the altar
To be baptized in the Lord,
Choosing to live your life for Him
And what He's preparing you for.

Wednesday, October 2, 2013

 

“In my daughter’s eyes, I am a hero, I am strong and wise, and I know no fear,
but the truth is plain to see, she was sent to rescue me, I see who I want to be,
in my daughter’s eyes.”

SOPHIE / SYDELLE - MZIUNGU W.O

 


 

Wednesday, August 7, 2013

ONE HAPPY FAMILY

MZIUNGU'S FAMILY

“What can you do to promote world peace? Go home and love your family.”
Mother Teresa
 “When everything goes to hell, the people who stand by you without flinching
 -- they are your family. ”
Jim Butcher


“One day you will do things for me that you hate. That is what it means to be family.”
Jonathan Safran Foer

Sunday, August 4, 2013

A NEW DAY HAS COME!

SOPHIE WILLIAM MZIUNGU

BORN: 

Wednesday, July 31, 2013

"THERE'S NOTHING LIKE A NEW BABY GIRL TO TOUCH U'R HEART & CHANGE U'R  WORLD, SO LITTLE SO PRETTY IN PINK TO MAKE U SMILE WITH JUST ONE WINK, U'RE THE MOST WONDERFUL BLESSING TO EVER COME OUR WAY" 


*************


 ME & MY ROSE (SOPHIE'S MOTHER) WE HAVE A NEW BABY & ITS A GIRL

ALL THESE... THANKS TO THIS SPECIAL WOMAN

(ROSE-SOPHIE'S MOTHER)


  All the time we wondered and wondered,
 who is this person coming/growing/turning/floating/swimming deep, deep inside.

"Feeling fat last nine months but the joy of becoming a mom lasts forever"